Tuesday, November 09, 2010

Kina Seif wawa Makamu wa Rais wa Zanzibar

Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais


Balozi Seif Ali Iddi, Makamu wa Pili wa Rais

Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya kifungu 39 (1),(2) na (3) cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein amemteua Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Makamo wa Kwaza wa Rais.

Wakati huo huo kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya kifungu 39(1),(2) na (6) cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984, Dk. Shein amemteua Balozi Seif Ali Iddi kuwa Makamu wa Pili wa Rais.

Uteuzi huo umeanza leo tarehe 09 Novemba, 2010.

1 comment:

Anonymous said...

Uteuzi wa Rais JK, Waziri Mkuu: ED Lowasa, Spika: A. Chenge, Waziri wa Nje, Januari Makamba, Utawala Bora: Rostam Aziz, Fedha: Basili Mramba (atateuliwa ubunge), Ulinzi: Ridhiwani Kikwete (atateuliwa ubunge). Mambo ya Ndani: Yusufu Makamba (atateuliwa ubunge), Tunasubiri habari zaidi zitufikie tutawajulisha ndugu watanzania. Kigumu Chama Cha Mafisadi.

Post a Comment