Thursday, November 18, 2010

Kikwete ahutubia Bunge, CHADEMA wasusa

Rais Jakaya Kikwete akihutubia bunge

Wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakitoka ndani ya ukumbi wa Bunge, Dodoma jana mara Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania,
Jakaya Kikwete alipoanza kulihutubia ikiwa ni ishara ya kususia hotuba yake.

Kamanda Mbowe akiongoza wabunge wa CHADEMA ku-walk out

No comments:

Post a Comment