Sunday, November 21, 2010

Sherehe ya Kuapishwa Pinda

Katibu mkuu wa CCM, Yusuf Makamba akizungumza na Mwenyekiti wa CUFProfesa Ibrahim Lipumba

Rais Kikwete akizungumza na Edward Lowassa

Hamad Rashid Mohamed, Mbunge wa Wawi aliyekuwa Kiongozui wa upinzani bunge lililopita akimpongeza Rais Kikwete.


Lyatonga Mrema huyo aliamua kupiga makofi kabisa.

No comments:

Post a Comment