Thursday, September 30, 2010

Viongozi wa dini na Dk Slaa

Baadhi ya viongozi wa Dini wanaounda Taasisi ya Kutafuta Amani nchini, wakijipanga kupiga picha ya pamoja na mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, makao makuu ya chama hicho jana. Kutoka Kushoto ni Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Tabora, Paul Ruzoka, Mgombea Mwenza wa CHADEMA, Mzee Said Mzee, Mgombea urais wa CHADEMA, Dkt. Willibrod Slaa, Shekhe wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, Askofu wa Kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania Dayosisi ya Arusha, Thomas Laizer, Askofu Augustine Shayo wa Jimbo Katoliki la Zanzibar na aliyeketi kulia ni Askofu John Nkola wa Kanisa la African Inland (AICT) Mkoa wa Shinyanga.>>>Soma Habari Kamili

No comments:

Post a Comment