Wednesday, September 01, 2010

Pingamizi dhidi ya Masha lapita


Breaking News...

Tume ya Uchaguzi Taifa umetengua maamuzi ya Msimamizi wa Uchaguzi Nyamagana na kuamua kwamba uchaguzi utaendelea! Kwa maana hiyo Waziri wa mambo ya Ndani Lawrence Masha si mgombea pekee tena.

Lau Masha ameandika kwenye Facebook page yake: Seems funny though as the appeal was out of time and unprocedural! I will now start my campaigns on the 14th of September!" Source Jamii Forums

No comments:

Post a Comment