Monday, August 30, 2010

Mshahara wa Rais kuchinjwa

MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Slaa amesema ufisadi unaoisumbua Tanzania kwa sasa ni tishio la hatari kuliko vita na amepania kupunguza matumizi ya anasa serikalini kwea kuanza na mshahara wa rais.

Hayo yamo kwenye ilani ya uchaguzi wa CHADEMA iliyozinduliwa juzi katika Uwanja wa Jangwani, Dar es Salaam na Mwenyekiti wa chama hicho, Bw, Freeman Mbowe na kukabidhiwa kwa Dkt. Slaa ili kuitumia kusaka kura za Watanzania kuingia ikulu. >>>Endelea nayo kwenye Majira

2 comments:

Anonymous said...

Ufuatao ni ujumbe ninaokutana nao ninapotaka kutembelea tovuti ya majira, kulikoni RSM?
Forbidden
You don't have permission to access /index.php on this server.

Additionally, a 403 Forbidden error was encountered while trying to use an ErrorDocument to handle the request.

Reggy's said...

Mimi naipata sawa sawa. Hata baada ya kuona ujumbe wako nimefungua tena kujiridhisha, imefunguka. Hiyo story ipo kwenye link hii: www.majira.co.tz/index.php?option=com_content&view=article&id=916:nitapunguza-mshahara-wa-rais-kwa-20-dktslaa&catid=1:latest-news&Itemid=18

Post a Comment