Wednesday, September 29, 2010

Piga kura ya Rais

Kama hujapiga kura hapa jamvini fanya hivyo sasa, muda unayoyoma. Tunataka tupate sura halisi ya uchaguzi wa Oktoba 31, 2010. Hapa hakuna kuchakachua matokeo. Pse piga mara moja, kwa mtu mmoja. Angalia hapo kulia.

No comments:

Post a Comment