Sunday, August 22, 2010

Uzinduzi Kampeni za JK

Rais Kikwete aifungua kampeni zake

Ghafla aliishiwa nguvu, akakatiza hotuba, akaanguka. Hapa wanausalama wanamnyanyua

Uwanja wa Jangwani ulijaa pomoni

No comments:

Post a Comment