Monday, August 16, 2010

Mwera ahama CHADEMA

A
Aliyekuwa mbunge wa Tarime kupitia CHADEMA Charles Mwera (kulia0 akipokewa na Juma Duni Haji wa CUF baada ya kuhama chake akidai kulikuwa na rushwa kwenye kura za maoni, na malalamiko yake hayakupita kwenye vikao vya juu. Duni alishindwa na Mwakwabe Mwita Waitara

No comments:

Post a Comment