Thursday, August 05, 2010

Fulana yakumbushia machungu


Mambo ya Mtandao: Wabunifu wa mtandaoni wameandaa fulana hii, kukumbushia machungu yanayoweza kutokana na kauli ya JK, hasa wakati huu wa kuelekea kampeni za uchaguzi. Bila shaka chama husika kitabuni njia ya kukabiliana na ubunifu huu. (Picha na Wanabidii)

2 comments:

Anonymous said...

Hizi ni fitna tu, mbona wafanyakazi wanataka kumpa kura zao?

Anonymous said...

It is sad that he made that comment but putting in context, one might argue that he could not have meant it! I guess it was a slip of tongue, and if we are going to judge him by that then may be he is not our while! But having said that, i think he is the best thing that happened to TZ in a long time and we should allow him to get on with it! A lutta continua JK!

Post a Comment