Tuesday, July 13, 2010

Sabodo achangia Chadema 100m/-


Mfanyabiashara Mustapha Sabodo akitoa hundi ya sh milioni 100 kusaidia harakati za Chadema kwenye uchaguzi mkuu. Lengo ni kupanua demokrasia na kuongeza wabunge wa upinzani. Anayepokea hundi ni mwenyekiti wa chadema, Freeman Mbowe na anayeshuhudia ni katibu mkuu, Dk. Willibrod Slaa. Soma Zaidi

No comments:

Post a Comment