Sunday, July 11, 2010

Mkutano Mkuu CCM Dodoma


Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Maroo, akitumbuiza wajumbe wa mkutano mkuu, katika ukumbi wa Kizota mjini Dodoma kabla ya kumpitisha mgombea urais Jakaya Kikwete, jana.


Makamu Wa Raia na mgombea urais wa zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein na Waziri Kiongozi wa Zamnzibar, Shamsi Vuai Nahodha, wakipiga makofu Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete alipowasili ukumbini hapo, jana.


Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete na Waziri Mkuu Mizengo Pinda, wakisoma kitabu cha wasifu wa Rais Kikwete., katika ukumbi wa Kizota, Dodoma, jana.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete na Waziri Mkuu Mizengo Pinda, wakisoma kitabu cha wasifu wa Rais Kikwete., katika ukumbi wa Kizota, Dodoma, jana.Vijana wakiwa wameshika masanduku ya kupigia kura baada wajumbe kupiga kura, katika ukumbi wa Kizota, Dodoma, jana

No comments:

Post a Comment