Wednesday, July 14, 2010

Mapadri Wapya: Chungeni kondoo vizuri


Askofu Lodovick Minde wa Jimbo Katoliki la Kahama, akiwatambulisha mapadre wapya baada ya kuwapa dajaja hilo katika misa iliyofanyika kwenye Parokia ya Mtakatifu Stephano Shahidi, Nyasubi Mjini Kahama. Kushoto ni Padre Abraham Kaligilwa na kuria ni Padre Severin Mshumbusi (Picha na Patrick Mabula)

No comments:

Post a Comment