Monday, June 07, 2010

Mwanafunzi Amchangia JK 500/-Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Kilabela "A", Mwasi Moshi (15) akipongezwa na Katibu wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Bw. Mohamed Mbonde baada ya kukabidhi mchango wake wa sh 500 ili zimsaidie Rais Jakaya Kikwete kuchukulia fomu za kugombea urais mwaka huu.

1 comment:

Anonymous said...

huu ni upuuzi. aliyenacho ataongezewa. hii ni dhuluma tupu. halafu zikafanye nini hizo bil 50? ziwarudishe mafisadi kwenye madaraka? bila shaka akina chenge na wenzake. huu ni wizi.

Post a Comment