Monday, June 07, 2010

Makhirikhiri walizingua
Wanamuziki wa Botswana wanazidi kuzingua nchini, wamekwenda Shinyanga, mwanza, Dar na sasa wanasubiriwa Mbeya. Mapokezi yao yalivuta mashabiki kibao kana inavyooneshwa pichani

No comments:

Post a Comment