Tuesday, June 15, 2010

Kambale wanatamanisha


Mfanyabiashara ndogo ndogo akiuza samakiaina ya kambare na perege
kando ya uwanja wa Nyerere Square mjini Dodoma jana

1 comment:

Anonymous said...

Mbona huyo anayetembeza samaki ana njaa? ningekuwa mimi ningechukua kamoja nikala.

Post a Comment