Tuesday, June 15, 2010

Hapa ndio bungeni

Ofisa Habari wa Bunge, Bw. Prosper Minja akitoa maelezo mbalimbali kwa baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Chekechea na Msingi Mt.Therese of Lisieux ya Ukonga, Dar es Salaam wakati wanafunzi hao walipofanya
ziara ya mafunzo bungeni Dodoma

No comments:

Post a Comment