Wednesday, June 16, 2010

Cheyo Apokwa Cheo

Aliyekuwa Waziri Kivuli wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, John Cheyo 'Mapesa' akizungumza na waandishi wa habari kupinga kuvuliwa wadhifa huyo na Kiongozi wa Upinzani bungeni. Sababu za hatua hiyo ziko hapa. Habari ndio hii

No comments:

Post a Comment