Tuesday, June 01, 2010

Ajali ya Basi kahama

Basi maarufu kwa jina la "IMRAN" aina ya Scania namba T 601 AER likiwa limepinduka juzi inje kidogo ya mji wa Kahama ambapo liliua mwanafunzi mmoja wa Sekondari ya Wigehe ya Kahama Rosemary Bonfance (19) na kujeruhi vibaya watu 10 ambao wamelazwa Hospitari ya Wilaya ya Kahama basi hilo hufanya safari kati ya Makao makuu ya Wilaya na Kata ya Ulowa ambayo ni maarufu kwa kilimo cha zao la tumbaku

No comments:

Post a Comment