Wednesday, June 02, 2010

Leo Tumkumbuke Mkulima


Hata kama tunapata chakula kwa kununua, si vibaya kuwafikiria wakulima wetu walioko vijini wanaotumia jembe la mkono. Pia wafanyabiashara wanaoyafuata huku na kuwalangua wakulima kwa 'lumbesa' (gunia lililopita uzito kwa bei ile ile) hadi mazao kama haya yakatufikia kwa bei 'nafuu' kwenye masoko yetu 'machafu' ya Tandale, Buguruni, Tandika, mahakama ya ndizi na kwingineko.

No comments:

Post a Comment