Monday, May 31, 2010

Waliopitia JKT jikumbusheni Ukruta


Katibu Mtendaji wa Baraza la Biashara la Taifa (TNBC), Bwana Dunstan Mrutu akitoa mada kwenye semina kuhusu dhana ya Kilimo Kwanza kwa makruta 350 wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT Mafinga) mkoni Iringa mwishoni mwa wiki. Kruta viti vya nini?

No comments:

Post a Comment