Tuesday, May 04, 2010

Tsvangirai naye yuko Dar!

Waziri Mkuu wa Zimbabwe Morgan Tsvangirai akisalimiana na Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania Jenerali Mstaafu (RTD Gen.) Chimonyo usiku wa manane kuamkia leokwenye Chumba cha Wageni Maalumu (VIP) katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere. Tsvangirai yuko nchini kuhudhuria mkutano wa uchumi (WEF) unaoanza kesho.
Picha na Anna Itenda wa Maelezo 

No comments:

Post a Comment