Monday, May 31, 2010

Siku ya Kukataa Tumbaku


Rafiki yangu Reuben Kagaruki aliona picha hii inayoonesha madhara ya sigara akachukua uamuzi mgumu wa kuacha sigara. Sasa ana miaka minne hajavuta. Nimeona niiweke hapa leo katika maadhimisho ya siku ya kutofuta tumbaku, ili ukiiona uchukue maamuzi.

2 comments:

Anonymous said...

Kama wewe huvuti sigara zinakuhusu nini? Mbona sisi hatuwasakami siku ya Ukimwi duniani na karibia watanzania wote wazinzi!!

Heri said...

hizo number maelezo yako tusaidie tusome

Post a Comment