Monday, May 31, 2010

Kamuhanda akutana na wahaririKatibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo Bw. Seith Kamuhanda (1) akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari leo jijini Dar es salaam. Pamoja na mambo mengine ametoa changamoto kwa wahariri wawe chachu katika kuleta mabadiliko na kuhakikisha kuwa habari zinazotolewa zilenge katika kuchochea maendeleo nchini

No comments:

Post a Comment