Monday, May 24, 2010

Liyumba Jela Miaka Miwili

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Amatus Liyumba akisindikizwa kutoka Mahakama ya Kisutu kwenda kuanza maisha mapya ya kifungu cha miaka miwilio jela. Ameshakaa mahabusu kwa mwaka mmoja na miezi minne kwa kosa la matumizi mabaya ya madaraka.

No comments:

Post a Comment