Tuesday, February 09, 2010

Mtanzania wa Kwanza awa Balozi wa Papa

Rev.Mons.Novatus Rugambwa during the press conference for the presentation of the Pope message for the 94th world day of the Pontifical Council for Migrants and travelers , Rome, Nov. 28,2007

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Benedict wa XVI amemteua padri wa kwanza Mtanzania, Monsignor Novatus Rugambwa, 52, (Pichani Juu) kuwa Askofu Mkuu na Balozi wake katika visiwa vya Sao Tome na Principe>>>Endelea

1 comment:

Anonymous said...

Mzee Bukoba kuko juu maana Cardinal wa kwanza Mwafrika alitoka kule na sasa Balozi wa kwanza Mtanzania katika Serikali ya Vatican anatoka huko huko, tuache utani, majamaa ya kule yameenda Shule na yanajua mambo ya Kimataifa kuliko tunavyofikiri, kifupi majamaa yapo Serious eti?

Post a Comment