Thursday, February 11, 2010

Babu Seya hana chake tena


Mwanamuziki Nguza Viking (Babu Seya) na mwanae Papii (kulia) hawana lao tena. Rufaa yao imesomwa na kuonekana wana hatia ya kuwanajisi watoto, hivyo wataendelea kumalizia maisha yao jela. Watoto wengine wawili wa mwanamuziki huyo, Mbangu na Francis wameachiwa huru asubuhi hii.

No comments:

Post a Comment