Thursday, December 31, 2009

Burian Mzee Kawawa

Breaking News


Mzee Rashid Mfaume Kawawa (kushoto, 83) amefariki dunia leo asubuhi baada ya kulazwa kwa muda mfupi tangu jana katika Chumba cha Uangalizi Maalum (ICU) kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili. Hapa alikuwa anasaini kitabu cha historia yake, akiwa na Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi. Habari zaidi utazipata hapa.

No comments:

Post a Comment