Sunday, February 14, 2010

Mkakati kutokomeza malaria


Watoto waliohudhuria Tamasha la Zinduka wakimpa maua Rais Jakaya Kikwete wakati wa ufunguzi wa tamasha la Zinduka.JK akihutubia wakati wa uzinduzi wa tamasha la Zinduka kampeni dhidi ya ugonjwa wa Malaria katika viwanja vya Leaders Club jijni Dar es Salaam jana usiku.

Vijana wa Tanzania House of Talents THT wakitumbuiza wakati wa tamasha la Zinduka katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa uzinduzi wa tamasha la Zinduka kampeni dhidi ya ugonjwa wa malaria katika viwanja vya Leaders Club jijni Dar es Salaam jana usiku.


Rais Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa na Msanii Mkongwe wa Zanzibar, Bi Kidude wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Zinduka katika viwanja vya leaders club jijinji Dar es Salaam jana usiku (Picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment