Monday, December 28, 2009

Yanga Oyeee!

Young Africans wamefanikiwa kulitwaa kombe la Tusker baada ya kuitwanga bila huruma Sofapaka ya Kenya 2-0 hapo jana. Sina shaka kwamba mashabiki wa Simba nao wameungana na Yanga kuhakikisha kombe linabaki Tanzania, au vipi?

No comments:

Post a Comment