Tuesday, April 28, 2009

Waliopita hapa Mpooo?


5 comments:

Anonymous said...

tupo

Anonymous said...

Miruko umenikumbusha mbali sana, enzi za Nakembetwa mwishoni mwa miaka ya 80

Anonymous said...

mimi nilipita hapa mwaka 1987

Anonymous said...

tuletee na picha za hamugembe omukishenye tuna hamu sana ya kuziona.bukoba sec nilikuwa miaka ya 1985 mpaka 1988

Anonymous said...

Ndugu au Bw Miruko (sijui ni title gani ungependelea) asante sana kwa ukumbusho huu. Siku nyingi sana sijatembelea blog yako kwa sababu hapo nyuma ilikuwa kama umeipeleka usingizini.
Tupo, sisi tulikuwa waasisi (vijana wa zamani). nilikuwa hapo 1970-73. Enzi hizo ka-mji ka bkb kalikuwa kanag'ara (kubuka ni kabla ya vifaru vya kumg'oa Mhe Idi Amin havijaingia mjini). Wakati mwingine tulikuwa tunakwenda katika vituo vya mafuta kushangaa tu. Pia BSS ilikuwa inameremeta (vijana wa zamani wa Rugambwa walikuwa wanatugombania!!!!!!!) Good old days.

Asante

Post a Comment