Thursday, March 05, 2009

Taarifa ya msiba

Mwandishi wa Habari, Michael Uledi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd amefariki dunia asubuhi hii mjini Dodoma. Uledi ambaye alikuwa Mkuu wa Kituo cha Dodoma, alikuwa anaumwa Kifua Kikuu. Mungu aiweke mahali pema peponi

No comments:

Post a Comment