Saturday, March 07, 2009

Mungu alitoa, sasa ametwaa

Safari ya mwisho. Mjane wa Marehemu Michael Uledi alipita kutoa salamu za mwisho kwa mumewe mjini Dodoma, kabla ya mazishi yake kijijini Buigiri km45 Mashariki mwa mji wa Dodoma. TAARIFA KAMILI

No comments:

Post a Comment