Friday, March 06, 2009

Kipimajoto leo

Tuliyaona mauzauza ya Richmond. Yakaja ya Dowans. Mjadala umenoga ana kuwa kuwa mzito, bunge limegawanyika, serikali nayo pia iko vipande. Wananchi walio wengi hawajui msimamo. Lakini kikubwa ni kwamba hawa Dowans/Richmond wana ka-kiburi fulani, kanatoka wapi?
Piga kura hapo kulia

No comments:

Post a Comment