Saturday, March 07, 2009

Kalamu ya Ndimara Tegambwage


WAANDISHI WA HABARI WASIOHITIMU

SITAKI waandishi wa habari wafundishwe jinsi ya kuandika habari kwa muda wote wa maisha yao. Ifike mahali wajue kuandika na waanze kuwafundisha wenzao wanaoingia katika kazi hii.

Kasheshe iliyozuka wiki hii kati ya ikulu na gazeti la Mwananchi inatokana na kutokomaa kwa waandishi katika taaluma yao. Hili linawahusu waandishi walioko kwenye magazeti, redio, televisheni, mashirika ya umma, makampuni binafsi na hata ikulu. Ipate Yote Hapa

No comments:

Post a Comment