Wednesday, March 18, 2009

Breaking News


Mwakyembe kaanza kwa kusema "Siwezi kuumbuliwa na kampuni ya mtu asiye na maadili kama Rostam".
Anasema: "Sina mkataba na Bunge. Nina profession yangu na natamani mambo mengi kama mtanzania."
Anasema kuna projects nyingi ambazo ameziona zimeandaliwa ili ziwe read story za kumchafua Mwakyembe.Anasema kuna magazeti yanayoandika "Sasa Umoja wa Mataifa unamuunga mkono dhidi ya Mwakyembe". Anasema Profession ya uandishi wa habari imeingiliwa! Anasema kuna watanzania wangapi ambao wanaweza ku-declare interest kwenye mambo kadhaa ati kwakuwa wamesajili kampuni tu?
Akatoa mfano: Kuna waandishi wangapi wamesajili magazeti na hawajaacha kazi kwakuwa wameanzisha magazeti?
Akauliza tena: Ingewezekana vipi afanye ku-declare interest kwa kusajili kampuni tu ati akiwa na memorandum of articles? Anasema labda itawezekana lakini si rahisi kwa sababu unakuwa huna kazi in hand .
Anasema:Dhamira ya kampuni yake ni kuzalisha umeme wa Megawati 1800 na hakuna kampuni hata moja kwa Tanzania itaweza.Na anasisitiza ziangaliwe annual returns za kampuni hiyo za mwaka 2007/08 tutagundua kuwa shares zilishakuwa transfered siku nyingi.

Ameulizwa kuwa ametoa tuhuma kadhaa kwa RA na wote wawili ni wajumbe wa NEC... Haoni kama baadae itakuwa tatizo?
Kajibu: Hilo swali angeulizwa Rostam, kwakuwa yeye ndo anayefanya kuchafua wenzake na anajua siku si nyingi mambo yake (RA) yatalipuka tu.
Chanzo

1 comment:

boniphace said...

kazi kweli kweli hapa. Waandishi wanaomiliki magazeti wanaogopa kuyataja maana wanahofu ya kufukuzwa kazi; sasa Dk anapotumia mfanoi kama huo wakati anasema ana proffession yake anapaswa kukumbuka si kila mtu ana PHD kama yeye na kazi za siku hizi ni ngumu sana. Enewei kazi njema kwa taarifa za haraka haraka

Post a Comment