Saturday, February 28, 2009

Ziara ya Dk Shein Rufiji

Bakari Seif wa United Democratic Party (UDP) kushoto Othman Omar wa Chama cha CUF wakila kiapo kuwa wanachama wapya wa Chama cha Mapinduzi CCM baada ya kujiunga na CCM na kukabidhiwa kadi na Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein katika uwanja wa Mabati Rufiji.

Dk Ali Mohamed Shein akiendesha Trekta kuzindua shughuli za kilimo kwa wakulima wa bonde la mpunga katika kijiji cha Utete Wilayani Rufiji wakati alipokuwa katika ziara ya siku nne kukagua miradi ya maendeleo

No comments:

Post a Comment