Thursday, February 19, 2009

Yuko Wapi Sasa

Mama akiwa amembeba mwanae ambaye alizaliwa na ulemavu wa miguu na mikono, mara ya mwisho nilimuona HAPA, sijui kafikia wapi sasa, yeyote mwenye taarifa zake tafadhali.

2 comments:

Anonymous said...

Mungu anaye yake miujiza, tumuombee

Anonymous said...

Acha hizo anony4:11 tumuombee bila ulaji, huyu mama awezeshwe kwani hicho kiumbe hakitaweza kujitegemea maishani

Post a Comment