Saturday, February 21, 2009

Wikend Njema

Nakutakia wewe unayesoma blog hii sasa hivi wikend njema. Mungu akubariki sana.Panya mmoja akasema; Tumkamate huyu cobra kwa pamoja, tumfunge kengere ili akitusogelea kusikie tukimbie; mwingine akajibu, thubutu, anza wewe?

Achana na mifupa ya albino sio mitamu, chukua huu wa kiboko ni bei mbaya zaidi na utamu wa kuuma ulimi

Nimekwambia rudi ndani we nyau, husikii?
Mashabiki wa Simba mnasemaje hapo!1 comment:

Anonymous said...

We mshamba acha kutudhalilisha mashabiki wa mnyama, tunajua wewe yanga, lakini mnyama bado anaunguruma tu

Post a Comment