Saturday, February 21, 2009

Vibaka Hadi Polisi

Dunia imefika patamu, jana kilitokea kituko huko Arusha, baada ya vibaka wenye njaa kutinga kituo cha polisi na kuiba sufuria la nyama kwenye kantini ya polisi, kisha wakala, wakashiba, wakalala juu ya mti na kukamatwa. Nadhani ilikuwa ni njaa, ningekuwa mimi adhabu yao ningewapa msosi mkuuuuuuubwa wakala na kujutia kitendo chao. Je wewe?


Soma zaidi hapa

No comments:

Post a Comment