Thursday, February 19, 2009

Wadhamini wa Liyumba Mbaroni


Taarifa za muda huu zinaeleza kwamba wadhamini wa Amatus Liyumba, Afosa wa BoT anayeshtakiwa kwa kutapanya fedha za minara pacha wamekamatwa baada ya mshtakiwa huyo aliyeachwa juzi kwa vielelezo vyenye utata, kutoonekana huku siku zake zikiwa hazipatikani

No comments:

Post a Comment