Wednesday, February 18, 2009

ANGUKA

Hii ni kaulimbiu ya Jakaya Kikwete 2005, Ari Mpya, Nguvu Mpya na Kasi Mpya


Hatuna muda wa kusubiri, ni lazima wakati huu tuanze kuhoji ANGUKA imeishia wapi?

Mafanikio yake ni yapi?

Kama Ari ilikuwapo ilikuwa ya kufanya
nini?

Kama Nguvu mpya zilitumika, ilikuwa katika kufanya nini? Na kama Kasi ilikuwapo ilikuwa kasi ya namna gani, ya kwenda mbele au kurudi nyuma?

Uchaguzi mkuu ni mwakani (2010) hatuna muda mrefu, tuanze sasa.

Naomba majibu.

Bye

No comments:

Post a Comment