Wednesday, February 18, 2009

Kitu Kipya

Hivi karibuni walimu wa Shule za msingi, Katerero, Kanazi na Kansenene wilayani Bukoba walicharazwa bakora kutokana na uzembe. DC aliyewachapa kafukuzwa kazi, lakini wazazi wananung'unika kuwa walimu ni wazembe hawafundishi watoto wao. Wewe una maoni gani? Piga kura hapo kulia tufahamu wengi wanasimama wapi.

No comments:

Post a Comment