Tuesday, February 24, 2009

Mnatuona?


Wanawake wa Ivory Coast wakicheza ngoma katika shamrashamra za ufunguzi wa Fainali za Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani juzi jkwenye Uwanja wa Felix Houphoeut Boigny, Abidjan Kesho Taifa Stars inavaana na wenyeji Ivory Coast.

No comments:

Post a Comment