Tuesday, February 24, 2009

Kitendawili Chateguliwa

Liyumba Mahakamani

Kile kitendawili kigumu cha mahali alipo Amatus Liyumba, Afisa BoT anayestakiwa kwa kusababisha hasara ya Sh 221, 197, 229, 200.95 kimeteguliwa. Leo ameonekana mahakamani tayari kwa kuendelea na kesi yake. Kinachosubiriwa sasa ni kama dhamana yake ya Sh55 bilioni itaendelea au itafutwa. Fuatilia hapa.

No comments:

Post a Comment