Wednesday, January 21, 2009

Baba na Mwana


Hizi picha za Barack Obama, mara akiwa anaogelea, akiwa na mabinti zake, akiwa mitaani na pensi zimeiibua mawazo mengi. Moja ya mawazo hayo, ni kwamba huenda marais wa kikwetu hulala na suti, au hawana maisha binafsi, au maisha binafsi hayawahusu waliowachagua. Lazima jibu litakuwa kati ya hayo. Bye

No comments:

Post a Comment