Thursday, January 29, 2009

Michozi Ilivyomwagika

Hii ndiyo picha rasmi ya michozi ya Waziri Mkuu ilivyomwagika bungeni leo asubuhi . Mbinu hii ilimsaidia kuyeyusha kibano kilichokuwa kimeandaliwa na wapinzani kumtaka ajiuzulu kwa 'irresponsible Statement. SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment