Friday, January 30, 2009

'Israel' Karudi Dar

La kuvunda halina ubani, daladala ya Mabibo Muhimbili ilikuwa inatoka wapi hadi ikapata ajali barabara ya Nyerere?Baada ya safari zake katika mikoa ya Tanga na Arusha yule pepo wa ajali maarufu kama Israel amerejea Dar. Habari za uahkika ni kwamba leo asuhubi kalamba nyoyo za wati tisa (9) za wakazi wa Dar kwenye barabara ya Nyerere, eneo la Jet. Wengine tisa walijeruhiwa. Ilikuwa ni daladala yenye maandishi 'JUICE YA PILIPILI'

No comments:

Post a Comment