Thursday, January 29, 2009

Pinda Amwaga Chozi Bungeni


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda leo amelia machozi bungeni kuonyesha machungu yake dhidi ya mauaji ya albino, lakini pia kama njia ya kutetea kauli yake kuwa 'wanaoua albino nao wauawe' Akahitimisha kuwa watanzania wataamua nipi kibaya kati ya kauli yake na vitendo vya mauaji ya albino. Habari zaidi baadaye

No comments:

Post a Comment