Friday, September 26, 2008

Kidomodomo Champonza Mtikila


Ni Mchungaji Christopher Mtikila akiganga maumivu ya jiwe la kombeo alilopigwa na mmoja wa watu waliokuwa kwenye mkutano wa kampeni wa chama chake kutokana na kuropoka kwake kuwa aliyekuwa Mbunge wa Tarime, Chacha Wangwe aliuawa na Chadema. Soma Habari Kamili hapa.

No comments:

Post a Comment